prof. idriss bilali mshoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO

    Salaam wanajamvi, Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu. Kabla ya hapo Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…