“Mara ya mwisho mimi kunywa Juisi au Soda ni Mwaka 2000. Iko hivi, kuna tofauti kubwa ya kula chungwa na kunywa juisi ya Chungwa. Nikinywa Juisi nakunywa Sukari moja kwa moja hata kama haijawekewa sukari. Mfano, ili nipate glasi moja ya Juisi ya Chungwa nahitaji Machungwa matano. Asubuhi...
“Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi alipokuwa hai na si kushindwa gharama za mochwari.
Ni maoni yangu lakini simjui hanijui na hatujuani ila angefaa zaidi ya Prof.Janabi 👇👇
I had the honor of officiating the first-ever training on Biosafety Cabinet Certification at the Eastern Africa Regional Centre of Excellence for Biosafety and Biosecurity, hosted by the Tanzania National...
Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na...
Wakuu!
Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya tena zile juice za kutengeneza mwenyewe.
==================
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya...
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine.
Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.
Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni...
Jamani kama kuna wazee hili Taifa wenye kutia neno Mimi naomba mnisikilize na mtakuja sema Taifa lina manabii.
Prof Janabi ni kiongozi hanijuwi simjuwi ila kwa kazi anazifanya na uzalendo wake kwa watanzania Mimi nawaomba huyu jamaa apewe form atatupeleka kuwa nchi ya maziwa na asali.
Kule...
Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia kwenye hatari ya Magonjwa Yasiyoambukiza.
Amesema kasi ya ongezeko la Wagonjwa wa Figo inaonesha wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.