prof. jay

Sammy Boussiba is a professor emeritus at the French Associates Institute for Agriculture and Biotechnology of Drylands at the Jacob Blaustein Institutes for Desert Research at Ben-Gurion University of the Negev, Israel.

View More On Wikipedia.org
  1. TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

    Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo...
  2. LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
  3. Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  4. R

    Natoa wito kwa Watanzania kumuunga mkono Prof. Jay katika kampeni ya kumpata fedha za kuhudumia wagonjwa wa figo

    Nitoe pole kwa Prof. Jay kwa machungu aliyopitia kipindi chote cha ugonjwa. Ninashukuru mwenyenzi Mungu kwa kuzidi kumpa nguvu na afya yakumtumikia. Nimpongeze pia Prof. Jay kwa kuona upo umuhimu wa kuwa na foundation itakayosupport wagonjwa wa figo. Hii ni vision nzuri na nia njema kwetu ambao...
  5. Prof. Jay: Sauti imebadilika nilitobolewa koo

    Mbunge wa zamani wa Mikumi na Msanii Staa Joseph Haule maarufu Prof. Jay @professorjaytz amesema sauti yake imebadilika kidogo kwakuwa Madaktari wa Muhimbili Hospital walimtoboa koo ili wavute uchafu kwenye mapafu yake ambao ulimfanya ashindwe kupumua. Akiongea kwenye Power Breakfast ya...
  6. Prof. Jay: Nimekaa ICU kwa siku 127, nimeugua kwa siku 462

    Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi, amesema hayo na kuongeza kuwa safari yake ya kuugua tatizo la Figo ilifanya afikie hatua ya kutobolewa Koo ili kuondoa uchafu uliokuwa ukisababisha ashindwa kuongea, pia, alikuwa akichoma Sindano inayogharimu Tsh. Milioni 5 ambapo alitakiwa kuchoma...
  7. Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo. Pia soma; 1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge...
  8. Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  9. Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

    Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi. MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe...
  10. Joseph Leonard Haule alias Prof. Jay

    Joseph Haule (born December 29, 1975), popularly known by his stage name Professor Jay, is a Tanzanian rapper, songwriter, politician and former member of the Tanzanian parliament for Mikumi constituency.[1] He is one of the prominent representatives of the "Bongo Flava" Tanzanian hip hop...
  11. Hawa ndio Wapinzani wanaoweza kui-challenge CCM mwaka 2025

    Habari zenu ndugu zangu, Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea...
  12. Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

    Sisi wengine mambo ya siku hizi hayatunogei. Bora tukumbukie ya zamani tu! Kwa wafuatiliaji wa game hii ya burudani, watakumbuka jinsi Prof Jay alivyokuwa akiburuzwa na penzi la mwanadada sistaduu aliyewahi kuwa Miss Mara, Miss Kanda ya Ziwa na Miss Tanzania (Top 5) miaka hiyo, Rashida Wanjara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…