PROF. KISSINGER
Leo mimi, Hamisi Hababi na Sheikh Taufik Kazaliwa tumemtembelea mwalimu wetu Prof. Kissinger.
Kwanza tulikuwa ndani tukapata darsa la Komredi Abdulrahman Babu na Mwana ASP na Memba wa Baraza la mapinduzi Seif Bakari.
Prof. Kissinger akatupitisha kwa ufupi kwa Abdulrahman...