Picha: Prof. Kitila Mkumbo
Habari Prof!
Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo.
Mbona leo shida ya maji bado ni kubwa sana? Ile ilitosha kwenye kitu gani au Ubungo tu?
ANGALIZO...
Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amezungumzia upungufu wa Watumishi wa Umma katika Sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya, Kilimo, Maji na Kilimo akisema Serikali haina budi kuja na Mikakati mipya kutatua tatizo hilo
Amependekeza kufanyika Ukaguzi wa Taifa (National Audit) ili...
Moja kwa moja kwenye mada.
Mbunge wa Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameishauri Serikali kuchukua hatua zisizo za Kawaida Kuhusu kupanda bei za mafuta.
Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu,Kitila amesema tuko kwenye kipindi kisicho cha kawaida kufuatia ongezeko kubwa la bei kutoka 30% hadi asilimia...
Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali.
Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda.
Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa zinakozalishwa bei hazijapanda ziko vile vile so kama kuna maeneo machache bei ziko juu basi itakuwa ni...
PROF. MKUMBO, MWAMBE, POKEENI LAWAMA HIZI KISHA MJIPIME
Na Bollen Ngetti
SIJUI kama kuna ukweli katika usemi huu. Kwamba "kenge hasikii hadi umtoe damu au aone kwa macho". Eti hata kama anaona na kukutazama usoni lakini ni kiziwi asiyesikia hata jambo la hatari.
Naam. Vivyo hivyo katika...
Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa.
Prof...
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!