Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kujiimarisha zaidi ili kuweza kuwa na ushindani.
Prof. Mbarawa amezindua safari...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema Treini za kisasa zitakuwa na uwezo wa kubeba tani 10,000 kwa mkupuo jambo amesema kuwa ni sawa na mzigo ambao unabebwa na malori 500.
"Treni za kisasa zenye kutumia nishati ya umeme, zitakuwa na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa hadi tani 10,000 kwa...
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amefanya ziara Shirika la reli Tanzania – TRC kuanzia Stesheni ya reli ya kiwango cha kimataifa – SGR ya Tanzanite hadi Banana jijini Dar es Salaam mnamo Mei 24, 2024.
Dhima ya ziara ni kuangalia maendeleo ya mradi wa SGR na utayari katika kuelekea kuanza...
08 December 2023
Arusha, Tanzania
16th Joint Transport Sector Review Meeting
Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI /...
Wanaotufundisha umuhimu wa upendo, kadiri ya maagizo ya kitabu Kitakatifu cha Biblia, wanatuambia kuwa, Umpende mwenzako kama unavyojipenda mwenyewe. Sijawahi kuona wala kusikia kuwa kuna mahali imenenwa umpende mwenzako zaidi ya unavyojipenda mwenyewe. Na Mungu pekee yake ndiye aliupenda sana...
Habari Watanzania,
Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le profeseri, yani yupo kama hayupo, na mambo mengi ya kuudhi na kuuza nchi hufanyika akiwa tuli kama...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema awamu ya pili ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi tatu, utakamilika Aprili.
Mradi huo unahusisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 20.3. Pia ujenzi wa vituo 27 vya mabasi ya...
Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe.
Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa mikataba maalum.
Haiyumkiniki kukawa na vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe, au vichwa vya treni...