PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika.
Prof. Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anawania kiti...
“Watu wanaenda Krismasi na nyie wote mlioko hapa mnaenda Krismasi, wapo wa Moshi, wapo wa Arusha, wapo wa Mbeya, wapo wa Iringa na wengine Songea nyumbani kwetu, ulaji utakuwa wa kupitiliza, ulaji wa nyama utaongezeka, vinywaji vya kupitiliza kila kitu kitakuwa cha kupitiliza , wapo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.