Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine
Prof Musa Juma Assad CAG mstaafu...
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio...
C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu.
Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na John Magufuli na Spika mstaafu Job Ndugai.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG .
Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika...
Profesa Mussa Assad ameonyesha masikitiko yake kuhusiana na wezi wa mali ya umma wanaochekewa.
Mussa Assad aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi ya CAG kwa mafanikio , na baadaye kuondolewa kinyume cha Katiba na John Magufuli aliyekasirishwa na kufichuliwa ubadhirifu wa kutisha wa Serikali yake, ni...
Wanabodi,
Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all, hivyo kama mambo yenyewe ni haya, hala hala huko mbele tusije tukashikana mashati, swali linabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.