prof. mussa assad

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Prof. Musa Assad(CAG) aibukia CHADEMA, atoa mafunzo

    Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine Prof Musa Juma Assad CAG mstaafu...
  2. Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

    Wakati akihojiwa na Salim Kikeke, Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva. Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili. Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio...
  3. Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

    C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu. Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na John Magufuli na Spika mstaafu Job Ndugai.
  4. CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG . Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika...
  5. Prof. Mussa Assad atoa maoni yake kuhusu Ripoti ya CAG, asikitishwa na yanayoendelea

    Profesa Mussa Assad ameonyesha masikitiko yake kuhusiana na wezi wa mali ya umma wanaochekewa. Mussa Assad aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi ya CAG kwa mafanikio , na baadaye kuondolewa kinyume cha Katiba na John Magufuli aliyekasirishwa na kufichuliwa ubadhirifu wa kutisha wa Serikali yake, ni...
  6. Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

    Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all, hivyo kama mambo yenyewe ni haya, hala hala huko mbele tusije tukashikana mashati, swali linabaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…