Jumatano wiki hii watanzania watakuwa kwenye zoezi la upigaji kura kuwachagua wenyeviti wa serikali za mitaa,wajumbe wa serikali za mitaa na wenyeviti wa vijiji.
Kutokana na jambo hilo serikali imetangaza jumatano ya Novemba 27 kuwa siku ya mapumziko Ili kutoa nafasi kwa wananchi kushiriki...