prof. ndalichako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof. Ndalichako kuitisha mkutano wa ghafla na wastaafu wa NSSF na PSSSF ni nia ovu

    Jana Alhamis usiku ulitumwa ujumbe toka NSSF ukitaarifu kuwa leo Ijumaa saa 3 asubuhi Waziri atakutana na wastaafu wa NSSF na PSSSF kwenye ukumbi wa NSSF Ilala ili asikilize matatizo yao, kuitisha mkutano wa ghafla una nia ya kuonesha waziri anania ya kuwasikiliza ila wahusika hawakufika kwa...
  2. Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  3. Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…