Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei leo ametia saini Kitabu cha maombolezo ya Kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Msamaria Mwema (GSF) na Hospitali ya KCMC Profesa John F. Shao katika viwanja vya hospitali ya KCMC.
Akiwa katika viwanja vya KCMC baada ya...