profesa abel makubi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Profesa Abel Makubi ameshauri Watanzania kubadilisha utaratibu wa kusalimiana kwa kushikana mikono kwani huhamisha maambukizi ya magonjwa

    Na kingine GENTAMYCINE najijua nina Nyota Kali hivyo Michawi inanisaka kwa Udi na Uvumba na ndiyo maana huwa sitoi hovyo Mkono wangu. Kama tu Viganja vyangu vyote vina ALAMA ya BAHATI, ULINZI na MAFANIKIO makubwa ya M kwanini Wanga na HATERS wasihangaike kutaka Kunimaliza japo wanashindwa...
  2. Aramun

    Uteuzi: Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma Prof. Makubi anachukua nafasi ya Dkt. Alphonce B. Chandika ambaye amemaliza muda wake Kabla ya Uteuzi, Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo...
Back
Top Bottom