profesa assad

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    KWELI Profesa Assad alisema Sitapiga kura hadi nchi hii tuanze kupiga kura kidigitali

    Ni kweli Profesa Assad alisema hatapiga kura hadi nchi hii ianze kupiga kura kidigital? Alisema lini na akiwa wapi? Maana naona kauli hiyo tu watu wanashare ila sioni wakisema chanzo.
  2. M

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  3. Inawezekana hoja ya Profesa Assad ilikuwa na mashiko

    Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali. Nafikiri wafuatiliaji wa Habari wangali wakikumbuka. Profesa alisema kuwa asilimia sitini ya viongozi wa Serikali hawana uwezo mzuri...
  4. Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa. Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo...
  5. Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

    Huenda CAG Mstaafu Prof Mussa Assad akafika tena mbele ya kamati ya bunge kuhojiwa kutokana na kesi yake iliyofunguliwa na Zitto Kabwe ya kupinga kuhojiwa kutupwa na mahakama. Prof Assad ana tuhuma za kuliita bunge la Tanzania kuwa ni dhaifu na halijiwezi kwa chochote pia wabunge wa bunge hilo...
  6. K

    Namshauri Professa Assad aende Mahakamani kwa uonevu aliofanyiwa

    Pole sana Professa Assad. Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
  7. Rais Samia mtumie Profesa Assad akusaidie kwenye Uchumi

    . Ni mkweli . Sio mnafiki . Anasimamia ukweli . Ni mcha MUNGU . Hajipendekezi . Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi. Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii. Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
  8. O

    Ya Dr. Mwele Malecela na Prof. Mussa Assad

    Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela. Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima...
  9. Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS PRESIDENT'S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM. Tanzania. Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com Website : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 TAARIFA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ