Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha The Throne kinachorushwa na redio Crown FM leo Ijumaa, Oktoba 11, 2024, Profesa Jay ameeleza kuwa...
Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina na mfuko/mastar wengine wapo hoi wanaishi kama milupo/ usione mtu ana ng'aa ukadhani ana chapaa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.