profesa j

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

    msikilize hapa akiwa na Sholo Mwamba.
  2. Pre GE2025 Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

    Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza kwenye kipindi cha The Throne kinachorushwa na redio Crown FM leo Ijumaa, Oktoba 11, 2024, Profesa Jay ameeleza kuwa...
  3. Heka heka za star

    Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina na mfuko/mastar wengine wapo hoi wanaishi kama milupo/ usione mtu ana ng'aa ukadhani ana chapaa...
  4. Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi akutana na Profesa J na kufanya naye Mazungumzo

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo. Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…