profesa janabi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

    Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani. Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
  2. B

    Kugombana na mwenzio inapunguza Kinga za mwili: Profesa Janabi

    MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari za ugomvi na mwenza kwenye afya ya mwili, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kupunguza kinga ya...
  3. Mkalukungone mwamba

    Profesa Janabi: Wakazi wa Rombo kunyweni maji sana

    Wakuu! Prof Janabi ametuma ujumbe kwa ndugu zetu wa Rombo mkoa wa Kilimanjaro kwamba maji na matunda ndiyo muhimu katika kula na kunywa katika kipindi hichi cha sikuu ya Xmass. Ila Janabi nimekunyooshea mikono juu kwa ushauri wako :D :EZclap: ================ Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali...
  4. M

    Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

    Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt...
  5. Mindyou

    Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

    Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama...
  6. Waufukweni

    Dkt. Godwin Mollel: Watanzania tufuatilie anachokisema Profesa Janabi

    Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya amesema: "Nimekuwa nikiwasisitiza wabunge na Watanzania kwamba elimu mbalimbali zinazotolewa na wataalam wa afya, lakini elimu anayotoa Profesa Janabi na madaktari wangu wengine wote, tuhakikishe tunasikiliza na kufuatilia ili tuweze kuishi maisha ya afya."
  7. GENTAMYCINE

    Ni upopoma kwa mwanaume kumsaidia mpenzi au mke figo yako wakati unajua wanawake wa leo siyo waaminifu muda wowote mnaachana

    Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine. Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo...
  8. Cute Wife

    Prof. Janabi: Wanaochangia figo wanaishi muda mrefu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
  9. Yoda

    Profesa Janabi kama Dr. Fauci wa Marekani

    Dr. Anthony Fauci alikuwa ni Mkurugenzi wa taasisi ya kitaifa ya Marekani ya magonjwa ya mzio na kuambukiza(NIAID) kwa takribani miaka 20 na jina kubwa katika masuala ya Afya Marekani kama alivyo Janabi hapa Tanzania. Wakati wa mlipuko wa COVID anakumbukwa zaidi kwa jinsi alivyokuwa akitoa...
  10. tpaul

    Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja amesikika akisema kwamba, kwa ulaji ule wa Profesa Janabi, ukiwa muislamu mwenye wake wanne unaweza kushindwa kumlisha mkeo "chakula cha chini" na hatimaye ndoa zikavunjika. Amesema haya akiwa na maana kuwa ukibahatika kuoa mwali...
  11. Mjanja M1

    Profesa Janabi ataka watu wembamba wasinyanyapaliwe

    PROFESA Mohamed Janabi amesema mtu kuwa mwembamba haina maana kwamba ni mgonjwa, akionya unyanyapaa dhidi ya kundi hilo ambalo yeye ni sehemu yake. Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Afua ya Mfumo Jumuishi hospitalini...
  12. D

    Musukuma, Saasisha: Watanzania tusitishike na Janabi

    Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda. Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna mtu alijiita DR NDODI Huyu ndio alikuwa balaa alitoa vitisho vyake na kila Aina ya vyakula na...
  13. Mjanja M1

    Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi...
  14. Mjanja M1

    Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

    Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha. Profesa Janabi...
  15. X men

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    MUHIMBILI NA URASIMU WA MEDICAL REPORT. Nimekuwa nikiuguza mgonjwa wodini pale Jengo la Watoto Hospitali ya Muhimbili kwa vipindi tofauti tofauti, ilikuwa kuomba Medical Report ni bure, lakini kuanzia Prof. Janabi alipoingia kupata Medical report ya mgonjwa ni lazima ulipie Laki moja (Tsh...
  16. tpaul

    Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
  17. GENTAMYCINE

    Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    "Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi...
  18. JanguKamaJangu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanza huduma ya upandikizaji wa Ini ifikapo Mwaka 2025

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo ya...
  19. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
Back
Top Bottom