profesa jay

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wiki hii nimekuja kugundua kuwa album za JOSEPH ya Prof J na Ubinadamu Kazi ya Nature zinatimiza miaka 20

    https://youtu.be/wlpmV-HGfm8?si=pEnrrh0GQ5kRHKLm https://youtu.be/tFpxL4dinYs?si=Vs2941r-Me7SI5AN
  2. Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

    Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili. Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda. Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani...
  3. LGE2024 Mkurugenzi na Msimamizi Uchaguzi Michael Gwimile: Prof. Jay amepotosha, Uchaguzi Serikali za Mitaa utakuwa wa haki

    Wakuu, safari hii mambo ni moto kwelikweli! Ripota wenu, Cute Wife, kama kawaida nawasogezea taarifa ili siku ya kupiga kura mfanye maamuzi sahihi. Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Kilosa, Michael John Gwimile, amesema kuwa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA...
  4. Professor Jay: Nipo kamiligado tayari kwa mapambano

    Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia wengi. "Asante sana Mungu kwa zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za maisha yangu. Nipo...
  5. Unakumbuka nini kuhusu Wimbo wa TATHMINI wa Profesa Jay na Jay Moe?

    [Verse 1 – Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi Rap si...
  6. Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

    Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali. Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama...
  7. Ilivyokuwa uzinduzi wa Profesa Jay Foundation, Desemba 10, 2023

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Desemba 10, 2023 alimuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni Mahususi ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo nchini inayofanyika Jijini Dar es Salaam.
  8. Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

    Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo! Picha: Moja ya pozi la Joseph Haule kipindi akiwa na afya tele === Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa msanii Joseph Haule...
  9. Spika Tulia amtembelea Profesa Jay, asema afya yake inaendelea kuimarika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Halima Mdee, Bi. Theresia Mdee ambao wamelazwa na kupatiwa matibabu katika...
  10. Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea. Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo. Serikali kupitia hiyo video...
  11. Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…

    Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
  12. CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
  13. Tafakuri Jadidi ya Maggid Mjengwa kuhusu afya ya Profesa Jay ambaye amelazwa Muhimbili

    Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni rafiki kwangu pia. Mwingine atauliza; Wapi mlikutana kwa mara ya kwanza? Jibu: Ilikuwa ni Jumatatu...
  14. Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

    Familia ya msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ imejitokeza hadharani na kuelezea juu ya hali ya kiafya anayopitia staa huyo na kuomba msaada wa matibabu yake. Jay ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Mikumi, alipoanza kuugua alipelekwa katika hospitali mitaa ya Tegeta, akahamishwa...
  15. Maendeleo ya afya ya Profesa Jay

    Baada ya ukimya wa siku kadhaaa, taarifa kutoka kwa watu wa karibu na msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ni kuwa anaendelea vizuri kiafya tofauti na ilivyokuwa wiki iliyopita. Hakuna mwanafamilia ambaye amejitokeza kuweka hadharani zaidi ya taarifa za awali ambazo zilieza Jay...
  16. Hiki kituko cha msimu, yaani Profesa Jay ndio MC wa Simba day

    Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised. Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ? Simba SC is very boring. # Haji Manara is cut from a different cloth
  17. Profesa Jay kufanya upya sherehe ya ndoa yake Mikumi

    HISTORIA iliyowekwa Julai 8, mwaka 2017 ya kufunga ndoa kati ya Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni rapa mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule (Profesa Jay) na Grace Mgonjo (Mama Lisa) haitafutika tena. Ndoa hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…