Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, (Journalists Accreditation Board-JAB) imetakiwa kuhakikisha kuwa, waandishi wa habari wote nchini wanazingatia sheria, kanuni, viwango vya juu vya weledi, maadili, uwajibikaji, na miongozo inayosimamia taaluma ya uandishi wa habari.
Maelekezo hayo ni...
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia.
Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti hasi na...
Kama unabisha shauri Yako.
Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂
Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof...
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.
Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao...
Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli.
Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania.
Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu.
Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!?
Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo...
Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba ya ACACIA na Barick, kabudi huyu huyu alikuwepo.
Na sasa ni yeye tena au kasingiziwa?
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.
Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.
Nimeona ni bora kufanya fact check ya...
Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo:
Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia:
Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja. Tulipo leo haieleweki. Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita...
Wale wenzangu na miye wa Tandika, Mwananyamala, Tandale na Mbagala waliozoea kutunzana pesa kwenye vigodoro vya HAKIKA, UBATIZO, KUMTOA MWALI au Kipaimara, watambue kwamba ni makosa makubwa kumtunza mtu fedha kwa kuzitupa chini, iwe kwenye mkeka, kitambaa au sakafuni.
Hayo yamesemwa na Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.