My Take:
Ukoo wa kina Manji sio vilaza na Kwa mara nyingine Wahindi wanaonesha jinsi gani ni vipanga kwenye sekta ya Afya na Hesabu.
Hongera Prof Karim Manji Kwa kuitangaza Tanzania na Muhimbili University
================
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Profesa Karim Manji...