Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
Soma...
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
Wagombea tisa wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo Prof. Ibrahimu
Pia, Soma: Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka
Lipumba wanatarajiwa kuchuana katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwenyekiti mpya wa chama hicho...
Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..."
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde
=======
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM.
Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa watendaji wakiboronga na mafisadi.
Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema ana wasiwasi kama maazimio ya Wadau wa Demokrasia yatafanyiwa kazi.
Amesema “licha ya dhamira ya Rais Samia na falsafa yake ya Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga Upya, lakini suala la Tume Huru ya Uchaguzi...
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba ameshangazwa kuona Serikali ya CCM inaishiwa maji
Lipumba amesema hii nchi kila unapochimba unapata maji salama sasa kwanini CCM wasijenge tu mabwawa na kumaliza tatizo?
Source ITV habari
Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti.
Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti
Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea.
=========
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.
Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna...
Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.
Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika...
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza.
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema kiatu cha marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.