Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema ana wasiwasi kama maazimio ya Wadau wa Demokrasia yatafanyiwa kazi.
Amesema “licha ya dhamira ya Rais Samia na falsafa yake ya Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga Upya, lakini suala la Tume Huru ya Uchaguzi...