Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba.
Lakini katika waraka huo hakuna aya au kifungu chochote kinachozungumzia mtoto aliyefeli darasa la saba kurudia tena masomo...