Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6,106,516,794.00 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kata ya Old Moshi Mashariki katika Jimbo la Moshi vijijini.
Hayo aliyasema Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...