Habari wana jukwaa,
Naulizia ni Certifications zipi zipo kwenye Market ambazo watu walioko kwenye field ya Computer Science/IT-related field wanapaswa kuzisoma na kuzipata ili waendane na competence kwenye field hiyo.
Pia Naomba msaada wa namna gani ya kuzi acess (Kuanza kujifunza), Period...