Joseph Haule (born December 29, 1975), popularly known by his stage name Professor Jay, is a Tanzanian hip hop recording artist, politician and former member of the Tanzanian parliament for Mikumi constituency. He is one of the prominent representatives of the "Bongo Flava" Tanzanian hip hop subgenre, which mixes elements from both Western hip hop and the Tanzanian tradition (including swahili lyrics as well as an activist attitude towards Tanzanian social issues such as HIV/AIDS, wealth, inequality, and political corruption).
Wakuu
Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia.
Kwenye mahojiano maalum na Mtangazaji Millard Ayo, Profesa Jay ameeleza yafuatayo...
Habari wana JF;
Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda...
Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA...
Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...
The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥
Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat Sirnature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na...
PROFESSOR JAY FT. ADILI CHAPA KAZI , COMPLEX, AY & BLACK RHINO - NAWAKILISHA ( STUDIO BONGO RECORD)
Chorus ( Professor Jay)
Nawakilisha...!!!
Ofisini na masela ndani ya gheto
Nawakilisha ...!!!
Kwa ma ding vijana mpaka watoto
Nawakilisha...!!!
Kenya , Uganda 🇺🇬 na Tanzania 🇹🇿
Huu ni hosia...
PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU
VERSE..1
Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
MWANA FT. PROFESSOR JAY.
SONG. JUKUMU LETU.
VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY)
Professor jay:
Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /..
Mwana Fa:
Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini?
Professor jay:
Serikali...
Joseph Haule (Prof Jay), akizungumza na baadhi ya wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni Jimboni Mikumi mkoani Morogoro, kuelekea uchaguzi na Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024
Soma pia: Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi...
Wakuu
Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena.
Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha.
Pia, Soma:
• Morogoro...
NAWAKILISHA - PROFESSOR JAY ( VERSE) BY PROFESOR JAY
Swadata..!! Toka utotoni sauti inawika/ nami napiga goti kwa watu nakubarika/
Najenga imani kwa mashabiki wengi ma dingi/ vinapo chekechea na hata shule za msingi./
Yooh .!! Mam sapu nipoze moyo mama/ baadhi ya wanafiki naona sasa...
PROFESOR JAY - HAKUNA NOMA
Nimesimama kwenye haki/ kurumbana sitaki/ bado nipo na fani kama Saturn na Zebaki/ sitaki kujiuliza.. yupi..? ndugu yupi ..? adui/ sijui..!! Pata nasaha za ma bedui / ulipo lala wewe ndipo nime amka mimi/ ubongo wangu madini changanya umjini mjini/ kabla...
PROFESOR JAY - NAWAKILISHA..
Na bado mkwanja unatesa viwanja/ ni vichwa vya nyanja/ maumivu kote na ganja / tawala mic kijanja/ sasa mc vizuri muda hu kudanja/ na tupa mawe fikra miba vichaka vyote nachanja/ tafadhali kaa mbali .. kaa mbali ni hatari/ hapa utalamba tope maktaba kwisha labda...
Nguli Wa Muziki Ya Bongoflava Professor Jay Amekutana Na Alikiba Hii Ikiashiria Kuwa Kolabo Yao Iko Jikoni . Wiki Jana Nilipata Nafasi Ya Kuongea Na Professor Jay Akaniambia Kuna Kazi Wanawachilia Yeye Na Alikiba Mwezi Huu....
UKWAJU WA KITAMBO
0767542202
PROFESOR JAY FT LB GENIUS & IMAM ABAS " NA BADO"
Natumia nafasi hi kudhibitisha kipaji changu/ nikiwa ni mkakati wa kuinua jina langu/ na huu sio mkwala tu ni msisitizo wenye nia/ kama kipaji kipo sioni wa kuziba njia/ nadhibitisha mc umahili kimiundombinu/ na jay na lb kwenye mpango ndani ya...
PROFESOR JAY FT CHID BENZ - MSILIE. ( PRODUCER LAMAR) 41 records..
Verse .. 1.
Yeah! Na muomba Mungu ili tuweze kuyakabili/ yanayojili mengi wahenga waliyatabili/ ona nyumba za ibanda leo zimengeuka biashara/ unapata neno la Mungu baadae tiba mbadala/ unafanya usichopenda Wana hubiri...
ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU
https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl
"Machozi Jasho na Damu..
ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania...
Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia wengi.
"Asante sana Mungu kwa zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za maisha yangu. Nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.