programmers

  1. M

    Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
  2. D

    Programmers naomba msaada kwenye hili

    Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani; Kwa mfano '6XWE217 ' '6WTY54' Mimi ndiyo naanza kujifunza'
  3. Kwanini programmers wa Tanzania wakikosolewa wanakimbilia kusema budget ya client ndiyo chanzo?

    Nimeona thread's nyingi sana hapa JamiiForums kuhusu programmer's wa Tz wakikosolewa na kila mara jibu wanalolitoa ni kwamba wanalipwa pesa kidogo ndiyo maana wanafanya kazi mbovu. Kwangu mimi naona hilo ni jibu la kipuuzi kuliko lote kwa maana mbona fani nyingine wanalipwa pesa ndogo lakini...
  4. Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

    Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers. Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu. Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz...
  5. Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  6. Ushauri kwa New Programmers

    Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career. Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu...
  7. Programmers Russian Roulete

    Happy coding.
  8. R

    Programmers wa Blockchain na DeFi tafadhali tuwasiliane

    Habari wakuu. Naomba mpitie Uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/programmers-wa-blockchain-na-defi-msaada-tafadhali.1966108/
  9. R

    Programmers wa Blockchain na DeFi msaada tafadhali

    Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha. Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla...
  10. K

    Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

    Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
  11. PROGRAMMERS: In-depth learning is sometimes very important

    Check this short article! An interviewer asked me to reverse a string without built in functions. What is the point in that if the built in functions are there to help developers? Answer: Because reversing a string without the use of functions shows that you understand the underlying...
  12. Fursa za frontend development

    Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa. Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale. Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
  13. Nimependa hili swali, Programmers embu mtoe idea hapa

    Take the following IPv4 address: 128.32.10.1 This address has 4 octets where each octet is a single byte (or 8 bits). 1st octet 128 has the binary representation: 10000000 2nd octet 32 has the binary representation: 00100000 3rd octet 10 has the binary representation: 00001010 4th octet 1 has...
  14. Special thread for Javascript programmers and learner's

    Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za kujifunza js Kwa sasa ninajua HTML,CSS Ahsanten na natumai mtanipa ufunguzi.
  15. Computer Programmers Only: Ifahamu Application ya kubadilisha maandishi yasieleweke kwa ajili ya kuficha kilichoandikwa (cipher)

    Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming. Kwa watu wenye idea ya mambo ya cryptology watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili yasiweze kueleweka ili kuficha kile kilichoandikwa. Mtu anaweza kuona maandishi haya ya mficho lakini...
  16. Programmers Only: Application ya Kuingiza neno moja na kupata maneno mengine

    Application hii ambayo nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya kujifunza Computer programming ,inawezesha kuingiza neno moja halafu,herufi za hilo neno zinaweza kutumiwa kuunda maneno mengine.Mfano ukiingiza neno cat herufi 3 za neno cat zitatumiwa kuunda maneno mengine.Hesabu inaonyesha neno lenye...
  17. Jaribu kufanya haya unapotaka kujifunza programming

    Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo nimekuwa nikizitumia kujifunza programming tangu siku ya kwanza niliposikia msamiati huu. Nafikiri...
  18. Check my site. Category zimepinda

    Habari jamani Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee. SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A Trusted Gateway to Your Dream Career!
  19. Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS

    Msaada tutani: Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS Notes: 1.The abbreviation DOS_COMMAND stands for any DOS command like copy, mkdir, etc. 2.The sub-directories 2019001, 2019002, 2019003,...........,2019363, 2019364, 2019365 are in the same MAIN/...
  20. Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…