Niaje wakuu…
Ni hivi, ni rahisi kujifunza syntax za programming language yoyote ila shida kubwa ambayo inawasumbua watu wengi ni namna ya kubadili hizo concept na kuziweka kwenye mfumo wanaouhitaji.
Na ndio maana nimekuja hapa niweze kukupa hii mbinu ambayo itakusaidia kwenye safari ya usomaji...
Habari zenu wakuu…
Naomba Leo tuongee kuhusu mambo haya ya programming, kwa maana watu wengi huwa wanahisi programming ni ngumu na hii yote ni kutokana na kutokujua msingi na dhima ya programming ni ipi.
Na ndio maana nimeandika hili bandiko ili kutoa degree ya kompyuta sayansi ya miaka mitatu...
AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming .
Kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best...
Kama title inavosema wakuu
Nataka kuwa developer mnaweza kunsaidia sehemu ya kuanzia
Kama kuna website au group Fulani mnaweza kushare nami.
Mungu awabariki🙏
Kama kawaida hope mko poa
Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop
Za desktop, mobile, na web based systems.
Nimesoma chuo ila nilikua based on networking zaidi ila badae nikabased na Programming.
Natamani niweke github yangu hapa ila sitaki...
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??
3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia...
Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati.
Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java
Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language na mafunzo ya software development
https://youtu.be/AqaUHU3imSE?si=ob7fOQ4SsyhCcDCX
Utangulizi:
Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
Programming ni nini?
Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani
Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta.
Unaweza ukajifunza...
Wakuu kwema
Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi
Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes...
Nilijifunza matumizi ya internet kwanza
Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni
Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha
Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez
Nikahamia c nikajifunza sana...
Hizi courses ni bure, unatakiwa tu kujisajili
Hapa lazima unatoka uko bomba kabisa na ulichokisomea
IT NETWORKING
https://skillsforall.com/course/networking-basics?courseLang=en-US
CYBER SECURITY
https://skillsforall.com/course/cybersecurity-essentials?courseLang=en-US
END POINT SECURITY...
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niulize kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job.
1. Full stack web developer,
2. Block chain developer,
3. Machine learning and Artificial intelligenece
Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.