Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa.
Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.
Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu...
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.
Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla...
Habari za wakati huu,
Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
Habari zenu, natumaini ni wazima wote? Natamani sana kujifunza digital skills hasa programming kutengenez systems, websites, apps n.k ila nakosa mentors wakunipa guide naishia youtube n skillshare tu msaada please, nitashukuru sana sana...namba zangu 0693307877
Habari wakuu,
Nataka nianze safari ya kujifunza kutengeza web applications. Mfano kuweza kutengeza inventory systems n.k
Ni language zipi natakiwa kujifunza kutengeza hizo web applications, nataka nitenge muda nijifunze mwenyewe mdogo mdogo labda ntafika :D
Habari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages.
Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa mwezi mmoja. Mfumo wa kufundisha ni whatsapp or telegram kutegemea na mwitikio wenu. Ntaanza rasmi...
Mara nyingi huwa watu wanapost humu kuwa wanataka kujifunza programming na hawajui waanze wapi.
Ukiwa beginner kupata resources nzuri zenye mpangilio mzuri ni mtihani kwa wengi.
Challenge inakuja pale unapotaja mtiririko mzuri wa kujifunza.
Kupata mtiririko mzuri utakao kuguide vizuri usipende...
Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa.
Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale.
Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
Salamu wakuu,
Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0.
Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payments?
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika...
Habarini wana JF, nimekuwa nikiwaza sana mahali gani nitasoma Programming hasa;
Webdesing, Android, IOS, Mac, Windows, App development, Game na mambo ya Software.
Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na ni wapi na kama ikiwezekana nijue na ada.
Nawasilisha.
Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na kwakuwa gari lina immobilizer nahitaji mtaalamu wa kunifanyia mambo mawili 1.
Kunitengenezea...
Hello bosses..!
Nahitaji kuprogram Eeprom ya immobilizer ya kwenye gari lkn naambiwa 'Chip detect error'
Reader ninayoitumia ni EZP2010, chip ni RA57. Any ideas wataalam
Cc: dronedrake
Swahili programming language (swap) ni lugha ya kuprogram kwa kutumia maneno ya Kiswahili, ni lugha ya kwanza kabisa kuruhusu mtu kuweza kuandika kodi kwa kutumia maneno ya kiswahili (swahili lexical terms), lugha hii ilizinduliwa rasmi tar 2020-05-24 , lengo kuu ikiwa ni kusaidia kujifunza...
Habari wakuu.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa programming in solidity, blockchain na smart contracts anisaidie kuweka function ninayohitaji kwenye smart contract ambayo nilitengenezewa na mtu na sasa simpati tena. Contract imekuwa deployed kwenye testnet ya Ethereum blockchain.
Hi hustlers,
I hope you're fine I want to share with you the following cool programming careers apart from being a programmer analyst or data-entry operator as following:
1: Programming computer games.
2: Animating with computers.
3: Encrypting data.
4: Fight computer viruses.
5...