programu chakula shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Bunda: Programu ya chakula Shule ya Sekondari Mwibara ina shida

    Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa. Hata ule muda wa saa 8:30 masomo yanapoisha hawawaruhusu kwenda kupata chakula ili masomo ya jioni yaendelee...
  2. A

    KERO Wanafunzi wa Rutabo High School (Kagera) hawapewi chakula cha kutosha

    Kumekuwa na changamoto ya mazingira ya chakula hasa katika hizi Shule za Serikali zinazowaweka Wanafunzi bwenini. Mara kadhaa Wanafunzi wamekuwa wakilalamikia uhaba wa chakula lakini suala hili limekuwa halichukuliwi hatua yoyote wakati sisi wenyewe tumepita huko. Binafsi nilipitia changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…