programu

Lista Przebojów Programu Trzeciego (the Radio Three Chart, LP3) is the oldest and the longest-running music chart in Poland. Aired by Polskie Radio Program III, a division of the Polskie Radio public broadcaster, the list has been broadcast weekly since 24 April 1982. Initially hosted by Marek Niedźwiecki, since 2010 the hosting duties have been alternated by Niedźwiecki and Piotr Baron.

View More On Wikipedia.org
  1. Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira yazindua programu upandaji wa miti Dodoma

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada za utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti ili kuhakikisha idadi ya miti inaongezeka na kutengeneza misitu itakayosaidia kutunza afya ya udongo na kuwa chanzo cha...
  2. B

    BENKI YA CRDB, UNDP zazindua programu kuwasaidia wafanyabiashara kufikia Soko Huru la Afrika (AfCTA)

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  3. Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  4. T

    Unatafuta Programu (Application au Website)? Unabiashara au wazo? Njoo Tuyajenge!

    Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2 mpaka week mbili ikiwa ngumu sana ✅ Nina uzoefu katika: Kutengeneza Websites (E-commerce, Blogs...
  5. T

    Unatafuta Programu (Application au Website)? Njoo Tuyajenge!

    Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2 mpaka week mbili ikiwa ngumu sana ✅ Nina uzoefu katika: Kutengeneza Websites (E-commerce, Blogs...
  6. Password (nywila) imara ni muhimu ili kulinda taarifa zako katika vifaa vya kielektroniki na programu tumizi

    PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu tumizi (application) zilizopo katika vifaa vyako vya kielektroniki. Password au Nywila ni ya kwako...
  7. W

    Funga au Ondoa Programu Tumizi (App) usizotumia au zilizopitwa na wakati ili kuimarisha usalama na kulinda taarifa zako Mitandaoni

    Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati 1. Programu Endeshi Android: Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’ 2. Programu Endeshi - iOS...
  8. W

    Kuwa makini kabla ya kutoa idhini kwa Programu Wezeshi kwa aina zote za maelezo inayoomba

    Kuruhusu programu kupata taarifa binafsi kama vile eneo, kamera, na namba za simu "Contacts" inaweza kuwa na madhara, kwani zinaweza kukusanya na kutumia taarifsa zako binafsi bila mtumiaji kujua au kutoa ridhaa. Pia inaweza kuongeza matumizi ya data na kupelekea chaji ya simu kuisha haraka...
  9. Programu ya Kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Note kwa Kompyuta na Simu

    Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako? Invoice management System inakupa uwezo wa kutengeneza na kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unapatikana kwa desktop na simu, hivyo unaweza kutumia popote ulipo. Sifa za Nina System: Invoice...
  10. Wizara ya Madini Yaanza Utekelezaji wa Programu ya Wakina Mama na Vijana (MBT) kwa Vitendo

    WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO •Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women •Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati na kununua Ambulance •Aitaka Halmashauri ya Msalala kupunguza ushuru kwa wachimbaji wadogo •Rais...
  11. Unakumbuka nini ukiona picha za Programu hizi? (Nero, Ashampoo, JetAudio na Window Media Player)

    Programu kama Nero Burner na Ashampoo Burning zilitumiwa sana nyakati za zamani kwa kuchoma CD na DVD, kujenga na kuhariri video na muziki. Windows Media Player na JetAudio pia zilikuwa maarufu kwa kucheza na kusimamia faili za media. Hizi zilikuwa sehemu muhimu ya vifaa vya programu za zamani...
  12. SoC04 Programu ya Ujenzi wa Miji Salama ngazi ya Kata: Adhima kuboresha Makazi katika Mitaa na Vijiji

    UTANGULIZI Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi. Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu...
  13. G

    SoC04 Programu ya Walimu wa Kujitolea ya Ndani (Local Volunteer Teacher Program)

    Maelezo ya Mfumo:Programu hii inalenga kuhamasisha na kutumia nguvu kazi ya ndani, ikiwa ni pamoja na wahitimu wa vyuo vikuu, walimu wastaafu, na wataalamu wengine wenye elimu na ujuzi wa kufundisha ili kujitolea kama walimu kwa muda maalum katika shule za msingi na sekondari...
  14. Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  15. SoC04 Mapambano dhidi ya taarifa chonganishi "Misinformation" zinazotokana na programu za akili bandia “generative artificiai intellegence (Gen AI)"

    Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
  16. Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatangaza kuanza kwa programu ya Diversity Visa kwa mwaka 2024 (DV-2024) hapo tarehe 6 Oktoba 2024. Kila mwaka, kupitia programu hii, Marekani hutoa viza za ukaazi wa kudumu (immigrant visas) zipatazo 55,000 kwa raia wa nchi ambazo kihistoria zina idadi...
  17. Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini

    Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo amesema taasisi za serikali zinaruhusiwa kutumia mtandao wa JamiiForums kwa sababu ni Jukwaa la mtandao kama majukwaa ya mitandao ya kijamii mengine duniani. “Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani tuuthamini, baadhi...
  18. D

    Profesa Janabi hakuwa sahihi, si kila mtu anahitaji kufanya uchunguzi wa moyo kabla ya kuanza programu ya mazoezi

    Haina uhalisia Kauli yake itawafanya watu wengi waogope mazoezi Hatuna vituo vya kutosha vya kufanya uchunguzi kama huo Ni gharama kufanya chunguzi Watu wangapi umewasikia wakifa kwa sababu ya kufanya mazoezi? Madhara yake hutokea kwa nadra sana. Kumekuwa na elimu nyingi zinazotolewa na...
  19. Tafadhali kuwe na Programu Maalum ya kuwafanya Mabinti wanaomaliza Darasa la 7 na Form 4 wawe 'busy' kipindi wakiwa Wanasubiria Matokeo yao

    Wanangonoliwa na Wanaume hadi Huruma na wengi Wao hata ukiwaomba upite nao Barabara za Vumbi tupu ili tutokee Yombo Buza kwa Mpalange wala hawakatai na tena Siku zingine Wao ndiyo wanakumbusha Madereva tukuka wapite huko. Hali ni mbaya sana Wakuu hebu tuamkeni na tuje na Suluhisho ili kwa...
  20. Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023. https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv Rais wa Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…