Habari,
Hawa jamaa, wanatoa kozi zisizo sajiliwa, kuna magumashi. Kuna jamaa, alisoma post graduate ya M&E, baadaye akaambiwa haitambuliki
Ukizingatia umesha poteza muda na pesa, tuweni makini na hivi vyuo vya uchochoroni, pia Serikali ichunguze kwa umakini hivi vyuo uchwara, usije jutia...