Jamaa walijaribu mmara ya kwanza, wakula loss kubwa pesa za kodi yetu, wakatafuta muIsraeli aje ajaribu akashindwa, project ikachukuliwa na wizara ya maji ndani ya departpment ya unyunyizaji (National Irrigation Authority) sasa wanasema kwa kila ekari waligarimika takriban Ksh 45,000 na mavuno...