Hii huduma naitoa kwa mdau yeyote, popote alipo Tanzania, kwa gharama nafuu kulingana na wazo la mradi wake.
Uwekezaji wowote wa rasilimali zako binafsi au za mkopo au za ruzuku/msaada unahitaji umakini mkubwa katika kupanga na kupangilia maudhui yake mwanzo mwisho kutoka wazo hadi matokeo...