Miradi hii nimeanza kuisikia tangu awamu ya tano,tuliambiwa itatekelezwa katika miji 45,huku ikihusisha ujenzi wa stendi, masoko,barabara,bustani,machinjio,na maegesho ya maloli.
Lakini hatuoni utekelaziji wake,na kumekua na ahadi nyingi kwamba mradi utaanza mwezi fulani,lakini mpaka sasa...