Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past paper za necta na mock pamoja na kuweka notes.
Kwa baadae nafikiri tunaweza kuanza ku solve pia...