promosheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tigo mmefeli na promosheni yenu ya SakoKwaBako

    Hii promosheni kwangu naona haina maana yoyote Yani nanunua MB kisha unaniongezea MB nyingine kidogo za bure halafu unanibana kwamba nitumie tu kwa Whatsapp is not fair Kulikua na ulazima gani kumuongezea mtu MB halafu unampangia wapi pa kuzitumia Mwanzoni wakati mnapigia promo hii promosheni...
  2. R

    Kwanini Tanzania wanaotetea rasilimali za Taifa wanafungwa lakini wanaoiba wanapewa promosheni?

    Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote waliosimama kutetea wananchi wanyonge wasipofungwa basi watashinda kesi. Tukiendelea na tawala...
  3. TECNO Tanzania

    Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
Back
Top Bottom