promotion

The Promotion is a 2008 American comedy film written and directed by Steven Conrad. A look at the quest for the American Dream, it focuses on two grocery store managers vying for a promotion. The film premiered at South by Southwest in March 2008. Dimension Films released it on June 6, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzanite ni Adimu kuliko Almasi; Tofauti ya Bei ni Promotion na Huenda Bei yake ikazidi kupaa

    Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba Almasi ni Adimu sana na inapatikana kwa shida na sehemu chache sana (Ingawa ukweli Almasi ni nyingi ila...
  2. Hoja na Mjadala dhidi ya Mafia Boxing Promotion

    Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
  3. Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

    Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
  4. Kumekuwepo na promotion inayoitwa UNICEF FOUNDATION hawa siyo wezi mtandao kweli?

    Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika. Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha...
  5. E

    Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Habarini, Nilikuwa naomba kama kuna mtumishi yoyote wa THPS humu ndani naomba tuwasiliane. Asanteni
  6. Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

    Kesi dhidi ya bondia wa ngumi za kulipwa Nchini, Hassan Mwakinyo ambayo imefunguliwa na Kampuni ya PAF Promotion inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, A.H. Msumi ikiwa na jumla ya madai 8 ya msingi. Kampuni hiyo imewasilisha...
  7. Manager Of Investment Promotion (Foreign) at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Manager Of Investment Promotion (Foreign) Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Job Summary To promote investment opportunities with collaborations with diplomatic missions/ embassies and other stakeholders. Duties and Responsibilities i. To prepare...
  8. Kampuni ya Hall of Fame Boxing yaishtaki Azam Media, yataka ilipwe Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha maudhui kinyume na mkataba

    Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha hewani maudhui yao kwenye kipindi kinyume na makubaliano. Katika kesi hiyo ya...
  9. To all marketing or brand promotion manager from brew companies

    Wandugu I am reaching out to you with a crazy idea that I'm sure will boost your business. As we all know, people love to come together, socialize and have drinks including cold beers😋🍺🍻 whoow I love it!!!!!!!! As the matter of fact, Brew drinking is a popular pastime in Tanzania, enjoyed by...
  10. M

    Mtume Wenu Mwamposa afanya 'Promotion' ya Hotel yake ya Mkoani Mbeya katikati ya Ibada Tanganyika Packers Kawe leo

    "Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa. *Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi...
  11. Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  12. Vitu vya promotion sio ziada. Ni namna ya muuzaji kuokoa hasara. Na mtumiaji kupata nafuu kwa mahitaji ya muda Fulani

    Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga na kuruhusu hela yake iwe Kati mauzo ya mtoa huduma bila kurudishwa. Ni mkataba wa huduma au bidhaa...
  13. Naomba msaada wa jinsi ya kulipia YouTube videos promotion ads Kwa Mpesa

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
  14. Administrator/Operations Officer at Health Promotion Tanzania

    ADMINISTRATIVE OFFICER SCOPE OF WORK Introduction: Health Promotion Tanzania, commonly known as HDT is a local not-for-profit Non-Government Organization (NGO), legally registered in Tanzania bringing over 10 years of experience in managing Reproductive, Maternal, Newborn and Child Health...
  15. Humphrey Polepole kuwa Balozi ni promotion, lakini...

    POLEPOLE KUWA BALOZI NI PROMOTION LAKINI........ Na Elius Ndabila 0768239284 Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole Kwa siku za hivi karibuni alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya sita Kwa alichokiita...
  16. Job Vacancies at Tanzania Health Promotion Support (THPS)

    Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under non-governmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MOHCDGEC) and Regional Administration and Local...
  17. Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

    Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note. Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama...
  18. C

    Instagram promotion restriction problem

    Msaada account ya yangu ya Instagram imekua restricted kufanya promotion Je? Ni vipi naweza kutatua ili tatizo?
  19. J

    DPP kuteuliwa kuwa Jaji ni promotion? Niliiona kwa Feleshi na sasa kwa Biswalo

    Nauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya Katiba na Sheria. Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi? Ramadhan Kareem!
  20. Kama tulikuwa na makamu wa Rais wawili, kwanini tusiwe na wakuu wa shule (Headmaster) wawili wawili kuongeza promotion na udhibiti wa shule?

    Kusema ukweli mwalimu mpaka aje kuwa headmaster ni ngumu sababu wapo wengi na mpaka mkuu wa shule aje kustaafu ina maana na mwalimu wa kawaida anastaafu. Sasa kwanini kila shule isiwe na wakuu wawili wanapeana majukumu, mmoja akisimamia taaluma mwingine anasimamia fedha za shule na miradi. Hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…