propaganda za soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  2. Viongozi Yanga FC acheni propaganda uchwara kuwauza wachezaji wenu

    Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika. Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…