Nani anayetaka kumwua Rais mstaafu wa DRC?
Uebert Angel, muhubiri aliyejipatia umaarufu kupitia tabiri nyingi alizozitabiri kutimia, ametabiri kuwa maisha ya mtajwa yapo hatarini. Anaonya kuwa hata South Africa si salama kwake.
Aliona katika maono Joseph Kabila akiwa amekimbilia South Africa...