Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar.
Nina pendekezo liitwalo "Timu Yangu, Jezi Yangu, Kadi Yangu", humu kuna namna ambayo timu inaweza ikaingza pesa nyingi sana kupitia...