prosper theonas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prosper Mnjari adaiwa kupotea baada ya kuchukuliwa Agosti 2 na watu waliojitambulisha TANESCO

    Anaitwa Prosper Theonas Mnjari, anatafutwa alichukuliwa nyumbani kwake Chamazi Mbagala tarehe 2/8/2024 saa 5 asubuhi na watu waliojitambulisha Tanesco, toka walivyo mchukua simu ilizimwa haipatikani na hajaonekana, niwaombeni ukimuona au kuwa na Taarifa zozote kumuhusu tafadhali wasiliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…