Nchi nyingi duniani zinafuata mfumo wa Elimu wa *Prussian Education System".
Tanzania pia tunafuata mfumo huo.
Hata hivyo nchi nyingi Sasa hasa zilizo endelea zimesha achana na mfumo huu.
Katika baadhi ya nchi hizo mfumo huu unatumika sambamba na mifumo / mitaala mingine mfano mtaala wa...