ps2

  1. Younguther

    Aina za playstations

    Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4. Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
  2. Perfectz

    Natoa huduma ya Games PS4, PS3, PS2, PC na Xbox Games

    KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES,KARIBU SANA SKYGAMES 0710701361 TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC NA XBOX GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA. FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC NA PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA, 4GB RAM, 2GHZ PROCESSOR🔥🔥🔥 PIA PES 24 YA PS4 ZA...
  3. monotheist

    INAUZWA PS2 slim ipo full

    Ps2 slim ikiwa na vifaa vifuatavyo ✓Waya wa moto mpya ✓Waya wa AV mpya ✓Memorycard mpya ✓Flash yenye game 10 Dar es salaam Tsh 110k bei fixed 0692402211
  4. monotheist

    INAUZWA Ps2 mbili na TV mbili

    #Ps2 fat zipo mbili zipo full kila moja ikiwa na flash yenye game 10 #ps2 moja ikiwa full bila tv ni Tsh 100k na TV ni Tsh 150k #Zote nne ni yaani TV mbili na ps2 mbili Tsh 300k #Hiyo TV nyeusi ni inch 29 ilibadilishwa mashine na hiyo silva ni inch 21 zipo vizuri hazisumbui 0692402211 Kigogo, Dar
  5. monotheist

    Pad za ps2 na ps3

    Hamjambo, mimi si mjuvi kwenye mambo ya games ila mara nyingi nimekua napigwa kwenye pad za ps2 na ps3 Naomba mnisaidie jinsi ya kuzitofautisha pad imara za duka na fake Na pia pad imara za mtumba na fake nimechoka kuibiwa.
Back
Top Bottom