ps3

  1. Younguther

    Aina za playstations

    Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4. Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
  2. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  3. Perfectz

    Natoa huduma ya Games PS4, PS3, PS2, PC na Xbox Games

    KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES,KARIBU SANA SKYGAMES 0710701361 TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC NA XBOX GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA. FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC NA PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA, 4GB RAM, 2GHZ PROCESSOR🔥🔥🔥 PIA PES 24 YA PS4 ZA...
  4. M

    Nahitaji ps3 na ps4 used

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo, Mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu(sijamuoa) na mtoto wangu huku nikiendelea na masomo yangu ya shahada ya kwanza. Hivyo basi jamani naomba kutangaza kuwa yeyte mwenye ps3 au ps4 used...
  5. Mr_S

    INAUZWA Sony Playstation 3 (PS3) inauzwa

    Sony PlayStation 3 (PS3) inauzwa. Imetumika kwa mwezi mmoja (1) *Ina HDD yenye 250 GB. *Inakuja na padi mbili (2) *Inakuja na waya wa power, waya wa HDMI na nyaya mbili (2) za kuchajia padi. *Ina games tisa (9) ndani: AC: Black flag, AC: Rogue, Metal Gear Solid, Tomb rider, Injustice, Blur, PES...
  6. Mr_S

    Natafuta mtu wa kununua ps3 iliyo katika hii condition.

    PS3 yangu imepata hitilafu. Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa. Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
  7. C

    Kama unauza PS3 ambayo ipo katika hali nzuri yaani haina tatizo lolote, njoo PM

    Ili mradi tu PS3 yako inapiga kazi freshi, yaani haina tatizo lolote lile we njoo PM tuzungumze. Mimi nipo Temeke, Dar es salaam.
  8. monotheist

    INAUZWA Ps3 slim kipengele HDMI

    PS3 kipengele hdmi inatumia AV Ina game 9 Av cable 1 Pad 1 Waya wa moto 1 Tsh 200k bei fixed Kichwa kitupu Tsh 170k bei fixed 0692402211
  9. monotheist

    Pad za ps2 na ps3

    Hamjambo, mimi si mjuvi kwenye mambo ya games ila mara nyingi nimekua napigwa kwenye pad za ps2 na ps3 Naomba mnisaidie jinsi ya kuzitofautisha pad imara za duka na fake Na pia pad imara za mtumba na fake nimechoka kuibiwa.
  10. chuxxe

    msaada wa game parkage wakuu naitaji za ps3 na pc

    wakuu mwenye game parkage za pc na ps3 anisaidie ntachangia japo kidogo coz me pia nilikuwa nazo ila disk yangu imecorupt
  11. Daima kiganjani

    Tunakodisha PS3 na PS4

    Habari za wakati huu wakuu, Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo 15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku, 10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi, 30,000/= Kwa siku mbili 50,000/= Kwa wiki nzima Wasiliana nasi (0777821973 AU +255 777 821 973) Kutunza vifaa...
  12. monotheist

    Anayefahamu jinsi ya ku-skip GTA 5 prologue (1st mission) PS3 kwenye tv

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mgeni kwenye matumizi ya PS na hii mission ya kwanza kwenye PS3 nataka niskip lakini sifahamu yeyote anayejua msaada tafadhali.
Back
Top Bottom