ps4 slim

  1. Younguther

    Aina za playstations

    Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4. Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
  2. Perfectz

    INAUZWA PC games fifa 14 na pes 17 patche to 23

    PATA FIFA 14 PATCH 23 🔥 🔥 🔥 PES 17 PATCH 23🔥🔥🔥 KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5. Pia TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥 TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361📞🔥🔥🔥 KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA...
  3. Daima kiganjani

    Tunakodisha PS3 na PS4

    Habari za wakati huu wakuu, Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo 15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku, 10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi, 30,000/= Kwa siku mbili 50,000/= Kwa wiki nzima Wasiliana nasi (0777821973 AU +255 777 821 973) Kutunza vifaa...
  4. T

    INAUZWA Used PS4 Slim: 2pads & 500GB Capacity (Excellent Condition; Warranty sticker in place)

    Ninauza PS4 Slim (imetumika kidogo), ina pad 2. Capacity 500GB. Nipo Dar (mkoani nitatuma pia but kwa gharama ya mnunuaji). Bei TZS 780,000/= Comes with CD ya Fifa19 Mawasiliano: +255 752 998 891
  5. T

    INAUZWA PS4 Slim (brand new) 2pads. Capacity 500 GB

    Ninauza PS4 Slim (mpya), ina pad 2. Capacity 500GB. Nipo Dar (mkoani nitatuma pia but kwa gharama ya mnunuaji). Bei TZS 900,000/= Comes with CD ya Fifa19 Mawasiliano: +255 752 998 891
Back
Top Bottom