Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei katika maduka yao itaanza kwa $699 tu, hiyo ikiwa ni version isiyo support disc...
Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4.
Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
Habari wana JF.
Kuna idea imekuja gafla hapa nikasema ni share na wana kama niaje unaweza niambia kama its possible or day dreamer. Nowadays nimeona kwa DAR watu wengi wanapenda kucheza PS ila si kwa faida bali waste of time. Nikaona what if PS kitu ambacho wengi wamekizoea na wanashinda nacho...
Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟
Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu).
Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.
Ni miaka kadhaa imepita baada ya kunusurika kujitoa uhai wangu.
Chanzo cha hayo yote ni maisha duni Niliyoyapitia kipindi nipo pale cumpus, nilikuwa naipambania Diploma yangu ya kwanza.
Sasa baada ya kukosa msaada home yani kama nilisuswa hivi hasa ikanibidi niingie mtaani kusebenza nipate...
FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters
Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
Hii video inaonyesha jinsi nilivyocheza mission za kwanza ambazo ni Prologue, Franklin and Lamar, Repossession Complicatio, Stolen Boat and Father Son
ila mission ya stolen boat ndo ambayo imenitesa zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.