Wafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu, mama mzazi amekosa pension yake kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakuja ila hawaji, ukiendelea kuwapigia hawapokei then wanaku-block
Kuna mfanyakazi anaitwa Gabriel muongo anadanganya wateja watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.