pub

  1. chizcom

    A map of every pub in the UK

    Ukitafuta Bar UK kwenye ramani utapata za kutosha.
  2. kyagata

    Kuna mwenye experience ya kudate na mwanamke anaemiliki pub?

    Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa. Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?
  3. Doto12

    Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote. Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi. Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
  4. U

    Karibuni kwenye Pub yangu inaitwa Runway Pub yangu iliyopo Kinyerezi Mahakamani

    Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050
  5. tang'ana

    Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

    Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA. So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka. Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny. Asante
  6. U

    Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
  7. Royal Son

    Tuliokutana na Vituko Grocery au Pub au Bar za Mtaani tukutane hapa

    Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda wakasema wanataka Valeur mimi nikapiga Castle Lite mbili na wao wakapiga Valeur Mbili hao Wahudumu wakanywa...
  8. Teslarati

    Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
  9. Mr Why

    Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

    E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa. Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
  10. babukijana

    Supu mapupu, Kichwa Mbuzi Kiria Bar na Euro Pub

    Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar. Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
  11. Dr am 4 real PhD

    At the pub, must show you’re VIP (Kwenye baa, lazima ujionyeshe kuwa wewe ni VIP)

    At the pub, must show you’re VIP Kwenye baa na sehemu zingine za starehe Kuna ulazima wowote wa kujionyesha kuwa wewe ni VIP..... pedjeshee...papaa mukulu....Mupe Muruke... Mupe Muruke.... Je, Kuna tija yoyote mtu huipata. karibu tujadili.
  12. Sky Eclat

    Tim Martins mmiliki wa pub za Weatherspoon ni mmoja wa walipa kodi wakubwa nchi Uingereza

    Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub...
  13. Superbug

    Smart pub banana kumetulia ila hakuna piskal

    Haka ka pub sikaelewi kiukweli kinoma ila hakuna piskali inauma sana napoteza hela !
  14. j_h_kirigini

    INAUZWA Friji ya kioo (milango miwili) - biashara ya vinywaji

    bei yake: 1.2 milioni sehemu: ukonga, g.mboto namba ya simu: 0764 509226 risiti yake ipo. gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
  15. Superbug

    Terminal pub morogoro

    Kuna mwamba yeyote mwana jf aliyeko hapa muda huu ? Ila tusitafutane tujuane tu Kama tupo hapa.
  16. Enginier

    Partnership Biashara Pub/Bar

    Done..
Back
Top Bottom