Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei yapo. Eneo ni 215 sq m.
Mawasiliano 0744992266 au 0789581889